Department of Kiswahili & Other African Languages: Recent submissions
Now showing items 21-38 of 38
-
The usage of Kiswahili in blog discourse and the effect on its development
(International Journal of Humanities and Social Science, 2013)Online communication is rapidly changing how language is being used. With the increasing number of social networks people are engaging in various discourses using various languages. Kiswahili is one of the languages being ... -
UCHANGANUZI WA HIPONIMIA ZA VITENZI VYA KISWAHILI.
(Swahili Forum, 2016)Hiponimia ni uhusiano wa kifahiwa unaodhihirika baina ya leksimu ya jumla (hipanimu) na mahususi (hiponimu). Kama vile hipanimu mzazi hujumuisha hiponimu baba na mama. Uhusiano huu wa kihi-ponimia ulidhukuriwa na wanaisimu ... -
Kufaa kwa nadharia ya uchanganuzi vijenzi katika uchambuzi wa hiponimia
(Academic Journals, 2017)Hiponimia ni mojawapo ya mahusiano ya kifahiwa inayoashiria uhusiano ambapo leksimu ya jumla inajumuisha kimaana leksimu mahususi. Uhusiano wa leksimu kihiponimia ulidhukuriwa kuwa unafanana katika lugha anuwai ulimwenguni ... -
Unpacking the concepts of stability, democracy and rights
(Academic Journals, 2018)This article prepares the ground for contributions included in the special issue by unpacking the concepts of stability, democracy and rights, which are included in the overall theme. It is concerned with how these concepts ... -
The voice of reason by the children in the wilderness
(Academic Journals, 2018)Wars and tribal conflicts disrupt young children who are dependent on their parents for care, empathy, attention and protection. Some children end up in refugee camps unaccompanied by their parents or guardians. ... -
Metaphoric conceptualization of International Criminal Court justice and peace building in Kenya
(Academic Journals, 2018)In this paper, the metaphoric conceptualization of the International Criminal Court (ICC) indictment discourse in Kenya is examined through a data-driven analysis. Much scholarly writing on the ICC intervention in Kenya ... -
Can Habermas' Theory of Communicative Action Provide a Framework of Inspiration for Practices of Discursive Mediation in Post-Election Kenya?
(Scholars Middle East Publishers,, 2019)This article examines how Habermas‘s theory of communicative action provides insights for mediation processes and conflict resolution in general. It lays its assumptions that people in society are in relationship and that ... -
Mwanamke angali tata katika ushairi wa kisasa?
(Academic Journals, 2011)Sanaa ya ushairi inajisawiri kama nyenzo muhimu katika maendeleo na ukuaji wa binadamu ulimwenguni. Mtunzi wa ushairi hupata ilhamu na tajriba zake kutokana na mitagusana na mivutano ya mijadala ya kimaendeleo inayotokea ... -
Effects of terrorism news on readers of newspapers
(Academic Research International, 2013)The media plays an important role in giving the masses information about terrorism. Many developing countries have not in the past had many acts of terrorism that originated directly from those countries and for a long ... -
Mabadiliko katika Umbo la Ushairi na Athari zake katika Ushairi wa Kiswahili
(Academic Journals, 2008)Mwanadamu amejaribu kwa vyovyote vile kuvumbua na kunyumbua mambo mapya ambayo yataleta mvuto na kupimia akili yake kiubunifu katika hali ya kutaka kutangamana zaidi na binadamu mwenzake au kutaka kuelewa zaidi ulimwengu ... -
Face threatening acts and standing Orders:‘politeness’ or ‘politics’ in the question time discussions of the Kenyan Parliament
(Journal of Pan African Studies, 2011)This discussion attempts a pragmatics analysis of Kiswahili literary political discourse. Specific examples will be drawn from poetic texts; Chembe cha Moyo by Alamin Mazrui (1988), Sauti ya Dhiki by Abdilatif Abdala (1973) ... -
Is Democrasy Possible? A Theoritical Perspective
(Research on Humanities and Social Sciences, 2017)Democracy can be defined as a government in which sovereignty lies with the people either directly or via representatives. The transition from monarchy to representative democracy was long, gradual process. Nevertheless, ... -
Face Threatening Acts and Standing Orders:‘Politenedd’or ‘politics’ in the Question Time Discussion of the Kenyan Parliament
(International Journal of Humanities ad Social Science, 2011)This paper examines politeness in the context of politics during question time discussions of the Kenyan Parliament; politeness is an attempt by the speaker to linguistically show he cares about the others feelings. Question ... -
The Functionality of Four Temperaments and Communication Theories towards the Realisation of Peaceful General Elections in Kenya
(Journal of Sociological Research, 2012)The paper focuses on the general analysis and functionality of both the four temperaments and communication theories in an attempt to comprehend the process, nature and reality of politics, campaigns and general elections ... -
Peace Through Devolution for Sustainable Development: The Kenyan Case
(Maseno University, 2014)Good governance is a key pillar to sustainable development of any nation. Many conflicts in Africa can be traced to failure in governance, responsible and accountable management as well as failure to cultivate cultures of ... -
Uchanganuzi wa Athari ya Mageuzi ya Maneno kwenye Muundo wa Sentensi ya Ekegusii
(East African Journal of Swahili Studies, 2019)Tasnifu hii inachanganua athari ya mageuzi ya maneno kwenye muundo wa sentensi sahili ya Ekegusii ikiangazia sheria na kanuni zinazotawala mageuzi hayo. Mageuzi ya kisintaksia huleta mabadiliko mengi katika sentensi asili. ... -
Mifumo ya Kijamii katika Tamthilia Teule za Kiswahili
(2020)Mifumo ya kijamii inajitokeza waziwazi katika fasihi andishi ya Kiswahili. Mifumo hiyo huwakilisha matukio ya fasihi andishi na jinsi yanavyoichora na kwa mapana kuwa kioo cha jamii. Tafiti nyingi zilizofanywa zinahusu ... -
Nafasi ya Fasihi Katika Kuwasilisha Masuala ya Mazingira Kupitia Riwaya Teule Tikitimaji (2013) na Msimu wa Vipepeo (2006) za KW Wamitila
(East African Journal of Swahili Studies, 2020)Suala la mabadiliko ya hali ya anga ni janga linaloendelea kukumba ulimwengu kwa jumla. Kutokuwepo kwa usawazishaji wa ekolojia ni jambo ambalo linawatia shaka adinasi wengi. Fasihi ni kioo cha jamii na inapaswa kuwasilisha ...
















