Browsing Kiswahili & Other African Languages by Issue Date
Now showing items 1-13 of 13
-
Uchanganuzi wa uwasilishaji wa kifo katika mashairi teule ya Kiswahili
(Maseno University, 2014)Kifo ni swala zito na linaloibua hisia zaidi. Uwasilishaji wa dhana ya kifo katika tanzu anuwai za fasihi huwa kwa namna tofauti. Katika ushairi kifo huibuliwa kwa lugha ya pekee yenye mnato wa hisia na mashiko zaidi. ... -
Uhakiki wa suala la uhifadhi wa mazingira katika tanzu teule za fasihi ya kiswahili ya milenia mpya
(Maseno University, 2014)Hatua nyingi madhubuti zinachukuliwa na wanafasihi na mashirika mbalimbali kuhamasisha binadamu juu ya masuala yanayohusiana na uharibifu wa mazingira pamoja na haja ya uhifadhi wa mazingira. Hii ni kwa sababu wanadamu ... -
Uchanganuzi wa usemi wa kisiasa kuhusu nchi ya kenya katika blogu teule zilizoandikwa katika Kiswahili
(Maseno University, 2015)Maendeleo ya kiteknolojia kimtandao yanazidi kubadilisha namna masuala ya kisiasa yanavyowasilishwa. Majilio ya kuandika habari na kutolea maoni katika blogu yameshuhudia kuongezeka kwa watu wanaozuru blogu na kuchangia ... -
Matumizi ya ngeli miongoni mwa wanafunzi wa kiswahili wa chuo kikuu cha Maseno, nchini Kenya
(Maseno University, 2015)Utafiti huu unachunguza matumizi ya ngeli miongoni mwa wanafunzi wa Kiswahili wa Chuo Kikuu cha Maseno. Sura ya kwanza imeshughulikia ngeli kama msingi muhimu wa usarufi wa lugha za KiBantu hususan lugha ya Kiswahili. Dhana ... -
Matumizi ya rasilimali za kiswahili za mtandao wa kiakademia na wanafunzi wa kiswahili wa Chuo Kikuu cha Maseno
(Maseno university, 2016)The Internet has a lot of academic resources that are of significance to university students and their research in regard to various courses. However, most studies have indicated that, most university students use the ... -
Mwingiliano matini wa maumbo ya fasihi simulizi ya Kiafrika na matini teule za Biblia
(Maseno University, 2017)Biblia takatifu inayo misingi yake mikuu katika tamaduni za Wayahudi, yaani ni mkusanyiko wa vitabu vyenye maumbo ya fasihi simulizi. Ingawa kumekuwa na tafiti anuai kuhusu maumbo ya fasihi simulizi, chache zimefanywa ... -
Uhusika katika mashairi ya Kiswahili: Malenga wa vumba, Kichomi na Utenzi wa Fumo Liyongo
(Maseno University, 2018)Uhusika katika ushairi wa Kiswahili ni kipengele ambacho hakitiliwi maanani na wahakiki wengi wa mashairi. Uhusika huu haujitokezi wazi kama ilivyo katika tanzu zingine za fasihi. Aghalabu huwa si dhahiri, huonekana kuwa ... -
Uchanganuzi wa kileksikografia wa hiponimia za leksimu nomino na vitenzi vya kiswahili na tafsiri zake katika kiluo
(Maseno University, 2018)Ingawa hiponimia hudhihirika miongoni mwa kategoria mbalimbali za maneno, tafiti za Kiswahili zimeelekea kushughulikia hiponimia za nomino na kupuuza kategoria nyingine kama vile vitenzi, vielezi na vivumishi. Tafiti hizi ... -
Uhakiki wa ubunilizi wa changamoto za ndoa katika riwaya teule za kiswahili kiuhusika na kiusimulizi
(Maseno university, 2021)Ndoa ni asasi muhimu inayoiendeleza jamii na kudumisha uthabiti wake kupitia majukumu yake muhimu ya kuhakikisha wanajamii wapya wanazaliwa na kulelewa. Tafiti za kifasihi na za kisosholojia kuhusu ndoa zinaonyesha kuwa ... -
Umilisi wa lugha ya kifasihi miongoni mwa wanafunzi wa shule za upili katika kaunti ndogo ya Wareng’
(Maseno university, 2021)Umilisi wa lugha ya kifasihi kutokana na fasihi andishi ya Kiswahili ni uti wa mgongo kwa ufanisi wa mtihani wa Kiswahili. Wanafunzi wanapoanza kidato cha kwanza huwa wamepata alama nzuri katika mtihani wa Kiswahili. Mtaala ... -
Mikakati na mitindo katika ujifunzaji wa kiswahili kama lugha ya biashara miongoni mwa wafanyabiashara jijini Kampala-Uganda
(Maseno University, 2023)Dhima mojawapo ya lugha ya Kiswahili ni ukuzaji wa sekta ya uchumi. Kiswahili kama lugha ya pili nchini Uganda, kilianzishwa kwa ajili ya kuendeleza biashara na dini. Ujifunzaji na matumizi yake hayajaendelezwa kwa kina. ... -
Mchango wa Ushairi wa Kiganda katika kuendeleza umitindo wa Ushairi wa Kiswahili: Mfano wa ufundishaji wa ushairi katika wilaya ya Mukono-nchini Uganda
(Maseno University, 2023)Wanafunzi wengi nchini Uganda wanachukulia utanzu wa ushairi wa Kiswahili kuwa mgumu na wanapata ugumu huo katika kujifunza ushairi wa Kiswahili.Ugumu katika ujifunzaji wa ushairi wa Kiswahili umesababisha matokeo mabaya ... -
Uchanganuzi kimofosemantiki wa anthroponimu za Kimaragoli zinazojengwa na nomino za kawaida za Kiswahili
(Maseno university, 2024)Maana za maneno zinaweza kubadilika kulingana na muktadha wa ufasiri, hali inayoweza kutinga uwasilishaji wa maana ikusudiwayo. Mabadiliko ya kimaana kama haya yanadhihirika pia katika uchunguzi wa anthroponimu za Kimaragoli. ...